Ruka hadi mwongozo
BulkSMS
English

Mwongozo

Mwongozo wa BulkSMS

Kila kitu unachohitaji ili uanze kutuma SMS na BulkSMS, kwa mpangilio utakaouhitaji. Ndio kwanza umefika? Anza na miongozo minne ya kwanza.

Anza hapa

  1. Fungua akaunti na uingieJisajili kwa dakika mbili hivi, thibitisha namba yako ya simu, kisha ujue wapi pa kubonyeza.
  2. Thibitisha biashara yako (KYC)Kila akaunti hukaguliwa mara moja kabla ya kutuma kwa mara ya kwanza. Hizi ni hati za kuambatanisha na kinachofuata baadaye.
  3. Pata jina lako la mtumaji (Sender ID)Onyesha jina la biashara yako badala ya namba, wateja wako wanaposoma SMS yako.
  4. Nunua creditBulkSMS ni lipa unavyotumia: hakuna usajili wala ada ya kila mwezi. Lipa kwa pesa za simu na credit zinaingia ndani ya sekunde chache.

Kutuma ujumbe

Akaunti yako

Kwa developers

Msaada

Unahitaji msaada?

Timu yetu inajibu siku za kazi, Jumatatu hadi Jumamosi, kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni (8:00 hadi 18:00, saa za Afrika Mashariki).